sw_tn/deu/15/18.md

373 B

Haipaswi kuonekana ngume kwenu kumruhusu yeye aende huru toka kwenu

Hii ina maana kwamba hawapendi wakati wa kuruhusu mtu aende huru.

kupewa mara mbili thamani ya mtu aliyeajiriwa

Hii ina maana mmiliki peke alipaswa kulipa ana kiasi kwa ajili ya mtumwa huyu kufanya kazi kuliko angemwajiri mtu kufanya kazi.

mtu kuajiriwa

Huyu ni mtu anayefanya kazi kwa malipo.