sw_tn/deu/15/07.md

24 lines
589 B
Markdown

# Kama kuna mtu maskini
Hapa "mtu" umaanisha mtu kwa ujumla.
# moja wa ndugu zenu
"mmoja wa Waisraeli wenzako"
# ndani ya malango yako
Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.
# haupaswi kuufanya mgumu moyo wako
Kuwa mkaidi husemwa kama mtu huyo alifanya mgumu moyo wao.
# wala usifungi mkono wako kutoa kwa ndugu yako masikini.
Mtu ambaye akataa kuto kwa mtu maskini husemwa kama anafunga mkono wake kwamba mtu masikini hawezi kupata chochote toka kwake.
# lakini unapaswa kwa uhakika kuufungua mkono wako kwake
Mtu anamsaidia mtu masikini husemwa kama alifungua mkono wake kwake.