sw_tn/deu/15/07.md

589 B

Kama kuna mtu maskini

Hapa "mtu" umaanisha mtu kwa ujumla.

moja wa ndugu zenu

"mmoja wa Waisraeli wenzako"

ndani ya malango yako

Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.

haupaswi kuufanya mgumu moyo wako

Kuwa mkaidi husemwa kama mtu huyo alifanya mgumu moyo wao.

wala usifungi mkono wako kutoa kwa ndugu yako masikini.

Mtu ambaye akataa kuto kwa mtu maskini husemwa kama anafunga mkono wake kwamba mtu masikini hawezi kupata chochote toka kwake.

lakini unapaswa kwa uhakika kuufungua mkono wako kwake

Mtu anamsaidia mtu masikini husemwa kama alifungua mkono wake kwake.