sw_tn/deu/14/21.md

341 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli

kitu chochote ambacho hufa chenyewe

Hii ina maanisha mnyama ambaye hufa kwa kifo cha kawaida.

Kwa kawa u taifa ambalo limewekwa wakfu kwa Yahwe Mungu wenu.

Yahwe kuchagua watu wa Israeli kuwa ni wake kwa anjia maalumu husemwa kama Yahwe amewatenga toka mataifa mengine.