sw_tn/deu/14/21.md

12 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli
# kitu chochote ambacho hufa chenyewe
Hii ina maanisha mnyama ambaye hufa kwa kifo cha kawaida.
# Kwa kawa u taifa ambalo limewekwa wakfu kwa Yahwe Mungu wenu.
Yahwe kuchagua watu wa Israeli kuwa ni wake kwa anjia maalumu husemwa kama Yahwe amewatenga toka mataifa mengine.