sw_tn/deu/14/18.md

24 lines
645 B
Markdown

# korongo...kongoti, hudihudi
Hizi ni aina za ndege ambao hula wanyama wadogo na mijusi.
# popo
mnyama aliye na mabawa na mwili wa manyoya ambao umeamka hasa usiku na hula wadudu na panya.
# vitu vyote vilivyo na mabawa, vyema
Hii umaanisha wadudu wote warukao ambao utembea kwa makundi makubwa.
# wao ni najisi kwenu
Wanyama ambao Mungu usema hawafai kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama wanyama walio najisi kimwili.
# hawapaswi kuliwa
Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "haupaswi kuwala"
# vitu vyote visafi virukavyo
Wanyama ambayo Mungu husema wanafaa kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama wanyama walio safi kimwili.