sw_tn/deu/14/18.md

645 B

korongo...kongoti, hudihudi

Hizi ni aina za ndege ambao hula wanyama wadogo na mijusi.

popo

mnyama aliye na mabawa na mwili wa manyoya ambao umeamka hasa usiku na hula wadudu na panya.

vitu vyote vilivyo na mabawa, vyema

Hii umaanisha wadudu wote warukao ambao utembea kwa makundi makubwa.

wao ni najisi kwenu

Wanyama ambao Mungu usema hawafai kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama wanyama walio najisi kimwili.

hawapaswi kuliwa

Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "haupaswi kuwala"

vitu vyote visafi virukavyo

Wanyama ambayo Mungu husema wanafaa kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama wanyama walio safi kimwili.