sw_tn/deu/14/09.md

20 lines
438 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Kwa vitu hivi ambavyo viko kwenye maji mnaweza kula
"Mnaweza kula aina hii ya wanyama ambayo huishia kwenye maji"
# mapesi
mapesi, sehemu tambarare ambayo samaki hutumia kwenda kupitia maji
# magamba
sahani ndogo zinazofunika mwili wa samaki
# wao ni najisi kwa ajili yenu
Kitu Yahwe usema hakifai kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama kilikuwa najisi kimwili.