sw_tn/deu/14/09.md

438 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Kwa vitu hivi ambavyo viko kwenye maji mnaweza kula

"Mnaweza kula aina hii ya wanyama ambayo huishia kwenye maji"

mapesi

mapesi, sehemu tambarare ambayo samaki hutumia kwenda kupitia maji

magamba

sahani ndogo zinazofunika mwili wa samaki

wao ni najisi kwa ajili yenu

Kitu Yahwe usema hakifai kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama kilikuwa najisi kimwili.