sw_tn/deu/13/17.md

708 B

Hakuna vitu vilivyotengwa kwa ajili ya uharibifu lazima viingie mkononi mwako

Yahwe alaani kitu fulani na kuahidi kukiharibu husemwa kama Yahwe alikuwa anaweka kitu mbali na vitu vingine. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji.

lazima viingine mkononi mwako

Hii ni nahau. "Unapaswa kuishika"

Yahwe atageuka kutoka kwa hasira yake kali

Yahwe hana hasira tana inaelezewa kuwa hasira yake ilikuwa kitu na Yahwe kimwili anageuka mbali nayo"

kwa baba zako

Hapa "baba" umaanisha babu ua baba waliotangulia.

unasikiliza sauti ya Yahwe

Hapa "sauti" uwakilisha nini Yahwe asema. "unatii kile Yahwe asema"

ambacho ni sahihi machoni pa Yahwe Mungu wenu

Hapa "machoni" uwakilisha mawazo au maoni.