sw_tn/deu/13/17.md

24 lines
708 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hakuna vitu vilivyotengwa kwa ajili ya uharibifu lazima viingie mkononi mwako
Yahwe alaani kitu fulani na kuahidi kukiharibu husemwa kama Yahwe alikuwa anaweka kitu mbali na vitu vingine. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji.
# lazima viingine mkononi mwako
Hii ni nahau. "Unapaswa kuishika"
# Yahwe atageuka kutoka kwa hasira yake kali
Yahwe hana hasira tana inaelezewa kuwa hasira yake ilikuwa kitu na Yahwe kimwili anageuka mbali nayo"
# kwa baba zako
Hapa "baba" umaanisha babu ua baba waliotangulia.
# unasikiliza sauti ya Yahwe
Hapa "sauti" uwakilisha nini Yahwe asema. "unatii kile Yahwe asema"
# ambacho ni sahihi machoni pa Yahwe Mungu wenu
Hapa "machoni" uwakilisha mawazo au maoni.