sw_tn/deu/13/15.md

323 B

kwa makali ya upanga

Hapa "makali" uwakilisha upanga mzima.

nyara zote

"nyara zote." Hii urejea kwa milki na hazina ambazo jeshi linakusanya baada ya kushinda vita

chungu cha uharibifu

"rundo la uharibifu"

kwamwe isijengwe tena

Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "hakuna mmoja anapaswa kujenga mji huu"