# kwa makali ya upanga Hapa "makali" uwakilisha upanga mzima. # nyara zote "nyara zote." Hii urejea kwa milki na hazina ambazo jeshi linakusanya baada ya kushinda vita # chungu cha uharibifu "rundo la uharibifu" # kwamwe isijengwe tena Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "hakuna mmoja anapaswa kujenga mji huu"