sw_tn/deu/12/29.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown

# hukataa mataifa
Yahwe kuwaharibu makundi ya watu huko Kanani huzungumza kama alikuwa akiwakata, kama mmoja angeweza kukata kwa vipande ngua au kukata tawi toka kwenye mti.
# mataifa
Hapa "mataifa" uwakilisha watu kuishi huko Kanani.
# wakati unapoenda kuwaondoa, na kuwaondoa
"wakati mnachukua vyote toka kwao"
# uwa makini mwenywe
"uwe mwangalifu"
# kwamba hujaingizwa katika kufuata...waliingia ndani ya kuchunguza miungu yao, kuuliza
Mtu kujifunza kuhusu na kuabudu miungu mingine huzungumzwa kama wameshikwa mtego wa mawindo. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji.
# si kuingizwa ndani ya kufuata
Waisraeli kuabudu sanamu kama makundi ya watu Kanani kuabudu sanamu huzungumzwa kama Waisraeli walikuwa wanafuata nyuma ya makundi mengine ya watu.
# baada ya kuharibiwa toka mbele yako
Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "baada Yahwe awaharibu mbele yako"
# katika kuuliza, "mataifa haya yanaabudu miungu yao? nitafanya hivyo'
Hii nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutajwa kama nukuu ambayo si ya moja kwa moja.