sw_tn/deu/12/29.md

1.0 KiB

hukataa mataifa

Yahwe kuwaharibu makundi ya watu huko Kanani huzungumza kama alikuwa akiwakata, kama mmoja angeweza kukata kwa vipande ngua au kukata tawi toka kwenye mti.

mataifa

Hapa "mataifa" uwakilisha watu kuishi huko Kanani.

wakati unapoenda kuwaondoa, na kuwaondoa

"wakati mnachukua vyote toka kwao"

uwa makini mwenywe

"uwe mwangalifu"

kwamba hujaingizwa katika kufuata...waliingia ndani ya kuchunguza miungu yao, kuuliza

Mtu kujifunza kuhusu na kuabudu miungu mingine huzungumzwa kama wameshikwa mtego wa mawindo. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji.

si kuingizwa ndani ya kufuata

Waisraeli kuabudu sanamu kama makundi ya watu Kanani kuabudu sanamu huzungumzwa kama Waisraeli walikuwa wanafuata nyuma ya makundi mengine ya watu.

baada ya kuharibiwa toka mbele yako

Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "baada Yahwe awaharibu mbele yako"

katika kuuliza, "mataifa haya yanaabudu miungu yao? nitafanya hivyo'

Hii nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutajwa kama nukuu ambayo si ya moja kwa moja.