sw_tn/deu/12/23.md

280 B

damu ni uhai

hapa njia ambayo damu huimarisha uhai inazungumzwa kama kama damu ilikuwa maisha yenyewe.

hautakula maisha pamoja na nyama

Neno "maisha" hapa uwakilisha damu ambayo inaimarisha maisha.

kipi ni sawa machoni pa Yahwe

Hapa "macho" uwakilisha mawazo na maoni.