# damu ni uhai hapa njia ambayo damu huimarisha uhai inazungumzwa kama kama damu ilikuwa maisha yenyewe. # hautakula maisha pamoja na nyama Neno "maisha" hapa uwakilisha damu ambayo inaimarisha maisha. # kipi ni sawa machoni pa Yahwe Hapa "macho" uwakilisha mawazo na maoni.