sw_tn/deu/12/15.md

24 lines
733 B
Markdown

# Hata hivyo, unaweza kuua na kula nyama ndani ya milango yako yote
Watu wataweza peke kuua wanyama kama dhabihu katika eneo ambalo Yahwe atachagua. Wangeweza kuua wanyama kwa ajili ya chakula popote wangetaka. Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi.
# ndani ya malango yako
Hapa "malango" uwakilisha mji wote.
# si mfsafi...watu
Watu ambao hapokelewi kwa makusudi ya Mungu huzungumzwa kama mtu ambaye si msafi.
# watu safi
Mtu ambaye anapokelewa kwa makusudi ya Mungu huzungumzwa kama mtu ambaye ni msafi.
# kulungu na paa
Hawa ni wanyama wa mwitu wenye miguu mrefu mwembamba ambayo inaweza kukimbia haraka
# Lakini hautakula damu
Damu uwakilisha maisha na Mungu hakuruhusu watu kula damu sambamba na nyama.