# Hata hivyo, unaweza kuua na kula nyama ndani ya milango yako yote Watu wataweza peke kuua wanyama kama dhabihu katika eneo ambalo Yahwe atachagua. Wangeweza kuua wanyama kwa ajili ya chakula popote wangetaka. Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi. # ndani ya malango yako Hapa "malango" uwakilisha mji wote. # si mfsafi...watu Watu ambao hapokelewi kwa makusudi ya Mungu huzungumzwa kama mtu ambaye si msafi. # watu safi Mtu ambaye anapokelewa kwa makusudi ya Mungu huzungumzwa kama mtu ambaye ni msafi. # kulungu na paa Hawa ni wanyama wa mwitu wenye miguu mrefu mwembamba ambayo inaweza kukimbia haraka # Lakini hautakula damu Damu uwakilisha maisha na Mungu hakuruhusu watu kula damu sambamba na nyama.