sw_tn/deu/12/13.md

340 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Jihadhari wewe mwenyewe

kuwa mwangalifu

kila eneo ambalo unaloliona

"eneo lolote ambalo linakubariki wewe" au " popote unataka"

lakini ni mahali ambapo Yahwe atachagua

Sadaka za kuteketeza zinapaswa kufanywa hekaluni. Yahwe mwenyewe atachagua wapi hekalu liwekwe.