# Habari ya jumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Jihadhari wewe mwenyewe kuwa mwangalifu # kila eneo ambalo unaloliona "eneo lolote ambalo linakubariki wewe" au " popote unataka" # lakini ni mahali ambapo Yahwe atachagua Sadaka za kuteketeza zinapaswa kufanywa hekaluni. Yahwe mwenyewe atachagua wapi hekalu liwekwe.