sw_tn/deu/12/10.md

670 B

na kuishi katika nchi

Hii urejea kwa nchi ya Kanani.

katika nchi ambayo Yahwe Mungu anawasababisha kurithi

Mungu anawapa nchi ya Kanani kwa watu wa Israeli huzungumzwa kama walikuwa baba anawapa kama urithi watoto wake.

wakati anawapa ninyi pumziko toka maadui zenu wote waliowazunguka

wakati anawapa ninyi amani toka maadui zenu wote waliowazunguka"

kisha itakuwa kwamba kwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi

Hapa "jina" uwakilisha Mungu mwenyewe.

sadaka iliyotolewa kwa mkono wako

Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima

matoleo yako yote ya kuchagua kwa ajili ya viapo

"sadaka zako zote za hiari ili kutimiza ahadi