sw_tn/deu/12/10.md

24 lines
670 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na kuishi katika nchi
Hii urejea kwa nchi ya Kanani.
# katika nchi ambayo Yahwe Mungu anawasababisha kurithi
Mungu anawapa nchi ya Kanani kwa watu wa Israeli huzungumzwa kama walikuwa baba anawapa kama urithi watoto wake.
# wakati anawapa ninyi pumziko toka maadui zenu wote waliowazunguka
wakati anawapa ninyi amani toka maadui zenu wote waliowazunguka"
# kisha itakuwa kwamba kwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi
Hapa "jina" uwakilisha Mungu mwenyewe.
# sadaka iliyotolewa kwa mkono wako
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima
# matoleo yako yote ya kuchagua kwa ajili ya viapo
"sadaka zako zote za hiari ili kutimiza ahadi