sw_tn/deu/12/08.md

16 lines
565 B
Markdown

# Hauwezi kufanya mambo yote tunayofanya leo leo.
"Huwezzi kufanya kama tunavyofanya hapa leo." Hii ina maana kwamba wangeabudu katika nchi iliyoahidiwa tofauti na jinsi walivyokuwa wanaabudu wakati huo.
# sasa kila mtu anafanya chochote kilicho sahihi machoni pake mwenyewe.
Hapa "machoni" uwakilisha mawazo ya mtu au maoni.
# kwa wengine
Jina hili "kwa wengine" linaweza kutajwa kama tendo.
# kwa urithi ambao Yahwe Mungu wenu anawapa ninyi
Nchi ambayo Mungu anawapa watu wa Israeli huzungumzwa kama miliki ambayo baba huacha kama urithi kwa watoto wake.