sw_tn/deu/12/08.md

565 B

Hauwezi kufanya mambo yote tunayofanya leo leo.

"Huwezzi kufanya kama tunavyofanya hapa leo." Hii ina maana kwamba wangeabudu katika nchi iliyoahidiwa tofauti na jinsi walivyokuwa wanaabudu wakati huo.

sasa kila mtu anafanya chochote kilicho sahihi machoni pake mwenyewe.

Hapa "machoni" uwakilisha mawazo ya mtu au maoni.

kwa wengine

Jina hili "kwa wengine" linaweza kutajwa kama tendo.

kwa urithi ambao Yahwe Mungu wenu anawapa ninyi

Nchi ambayo Mungu anawapa watu wa Israeli huzungumzwa kama miliki ambayo baba huacha kama urithi kwa watoto wake.