sw_tn/deu/11/10.md

649 B

kuimwagilizia kwa mguu yao

Yamkini maana ni 1) "mguu" ni neno ambalo linawakilisha kazi ngumu ya kutembea kubeba maji kwa mashamba au 2) wangeweza kutumia miguu yao kugeuza gurudumu la maji ambalo linatoa maji kwa mashamba.

bustani ya mimea

"bustani ya mboga" au "bustani ya mboga mboga"

kunywa maji ya mvua ya mbiguni

Nchi inapokea na kufyonza vya kutosha mvua inazungumzwa kama nchi inakunywa maji.

macho ya Yahwe Mungu wenu daima yako juu yake

Hapa "macho" uwakilisha uangalifu na utunzaji

tokea mwanzo wa mwaka kwenda mwishoni mwa mwaka

Hapa kubwa hizi mbili "mwanzo" na "mwisho" zinatumiwa kwa pamoja kumaanisha mwaka mzima.