sw_tn/deu/11/10.md

20 lines
649 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuimwagilizia kwa mguu yao
Yamkini maana ni 1) "mguu" ni neno ambalo linawakilisha kazi ngumu ya kutembea kubeba maji kwa mashamba au 2) wangeweza kutumia miguu yao kugeuza gurudumu la maji ambalo linatoa maji kwa mashamba.
# bustani ya mimea
"bustani ya mboga" au "bustani ya mboga mboga"
# kunywa maji ya mvua ya mbiguni
Nchi inapokea na kufyonza vya kutosha mvua inazungumzwa kama nchi inakunywa maji.
# macho ya Yahwe Mungu wenu daima yako juu yake
Hapa "macho" uwakilisha uangalifu na utunzaji
# tokea mwanzo wa mwaka kwenda mwishoni mwa mwaka
Hapa kubwa hizi mbili "mwanzo" na "mwisho" zinatumiwa kwa pamoja kumaanisha mwaka mzima.