sw_tn/deu/11/06.md

32 lines
863 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wakubwa kuwafundisha watoto wao matendo makubwa ya Mungu.
# Dathani na Abiramu, wana Eliabu
Musa anarejea kwa tukio la zamani wakati Dathani na Abiramu waliasi dhidi ya MUsa na Aaroni. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.
# Dathani...Abiramu...Eliabu
Haya ni majina ya wanaume
# mwana wa Reubeni
"uzao wa Reubeni"
# ardhi ilifungua mdomo wake na kuwameza
Yahwe anasababisha nchi kugawanyika kufungua ili kwamba watu waanguke ndani ilizungumzwa kama nchi ilikuwa na mdomo na uwezo wa kumeza watu.
# kila kiumbe hai kilichowafuata
Hii urejea kwa watumishi wao na wanyama
# katikati mwa Isralie yote
Hii ina maanisha watu wote wa Israeli walishuhudia kile kilichotokea kwa Dathani, Abiramu, familia zao, na miliki zao.
# Lakini macho yenu yameona
Hapa "macho" uwakikilisha mtu kamili