sw_tn/deu/11/06.md

863 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wakubwa kuwafundisha watoto wao matendo makubwa ya Mungu.

Dathani na Abiramu, wana Eliabu

Musa anarejea kwa tukio la zamani wakati Dathani na Abiramu waliasi dhidi ya MUsa na Aaroni. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.

Dathani...Abiramu...Eliabu

Haya ni majina ya wanaume

mwana wa Reubeni

"uzao wa Reubeni"

ardhi ilifungua mdomo wake na kuwameza

Yahwe anasababisha nchi kugawanyika kufungua ili kwamba watu waanguke ndani ilizungumzwa kama nchi ilikuwa na mdomo na uwezo wa kumeza watu.

kila kiumbe hai kilichowafuata

Hii urejea kwa watumishi wao na wanyama

katikati mwa Isralie yote

Hii ina maanisha watu wote wa Israeli walishuhudia kile kilichotokea kwa Dathani, Abiramu, familia zao, na miliki zao.

Lakini macho yenu yameona

Hapa "macho" uwakikilisha mtu kamili