sw_tn/deu/10/18.md

20 lines
383 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Nitafanya haki kwa yatima
"Yahwe anahakikisha kwamba watu wanafanyia haki yatima"
# yatima
Hawa ni watoto ambao wazazi wote wamekwisha kufa na hawana ndugu wa kuwajali.
# mjane
Mjane wa kweli ni mwanamke ambaye mme amekwisha kufa na hana watoto wa kumjali kwa umri wake wa uzee.
# Kwa hiyo
"Kwa sababu hii"