sw_tn/deu/10/18.md

383 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Nitafanya haki kwa yatima

"Yahwe anahakikisha kwamba watu wanafanyia haki yatima"

yatima

Hawa ni watoto ambao wazazi wote wamekwisha kufa na hawana ndugu wa kuwajali.

mjane

Mjane wa kweli ni mwanamke ambaye mme amekwisha kufa na hana watoto wa kumjali kwa umri wake wa uzee.

Kwa hiyo

"Kwa sababu hii"