sw_tn/deu/10/14.md

517 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.

Tazama

Neno "tazama" usisitiza kwamba kile kilichosemwa badae ni muhimu. "Zingatia" au "Tazama" au "Sikiliza"

mbingu...ardhi

Haya maneno yanaonyesha kubwa mbili, na yameunganishwa kumaanisha kwamba vitu vyote popote ni mali ya Yahwe.

mbingu za mbingu

Hii urejea kwa maeneo ya juu zaidi huko mbinguni. Kila kitu mbinguni ni mali ya Mungu.

alikuchagua wewe

Hapa neno "wewe" urejea kwa wanaisraeli wote na liko kwa wingi.