# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja. # Tazama Neno "tazama" usisitiza kwamba kile kilichosemwa badae ni muhimu. "Zingatia" au "Tazama" au "Sikiliza" # mbingu...ardhi Haya maneno yanaonyesha kubwa mbili, na yameunganishwa kumaanisha kwamba vitu vyote popote ni mali ya Yahwe. # mbingu za mbingu Hii urejea kwa maeneo ya juu zaidi huko mbinguni. Kila kitu mbinguni ni mali ya Mungu. # alikuchagua wewe Hapa neno "wewe" urejea kwa wanaisraeli wote na liko kwa wingi.