sw_tn/deu/09/27.md

20 lines
424 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuomba kwa Yahwe ili aweze kuwaharibu watu wa Israeli.
# Akilini
Hii ni nahau. "Kumbuka"
# ili kwamba nchi ambayo ulitutoa
Maneno "nchi" ni maneno kwa ajili ya watu wa Israeli.
# wapate kusema
"waweze kusema"
# kwa nguvu zako kuu na kwa kuonesha mamlaka yako,
Haya maneno kwa msingi umaanisha kitu kile kile na kusisitiza ukuu wa nguvu za Yahwe ambao aliutumia kuwaokoa watu wake.