sw_tn/deu/09/27.md

424 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuomba kwa Yahwe ili aweze kuwaharibu watu wa Israeli.

Akilini

Hii ni nahau. "Kumbuka"

ili kwamba nchi ambayo ulitutoa

Maneno "nchi" ni maneno kwa ajili ya watu wa Israeli.

wapate kusema

"waweze kusema"

kwa nguvu zako kuu na kwa kuonesha mamlaka yako,

Haya maneno kwa msingi umaanisha kitu kile kile na kusisitiza ukuu wa nguvu za Yahwe ambao aliutumia kuwaokoa watu wake.