sw_tn/deu/09/15.md

575 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile kilichotokea nyuma

tazama

Neno "tazama" hapa uonesha kwamba Musa alishangazwa kwa kile alichokiona

mmejitengenezea wenyewe ndama

Wanaisraeli wa kizazi cha mwanzo walikuwa wamemuuliza Aaaroni kutengeneza ndama wa chuma ili wamwabudu. Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kuwekwa wazi.

Umegeuka kwa haraka kando nje ya njia ambayo Yahwe alikuwa amekuamuru.

Musa azungumza kama kutii amri za Mungu kulikuwa kutembea kando ya njia. "Kwa haraka umeshindwa kutii kile Yahwe alichokuwa amekuamuru."