sw_tn/deu/09/15.md

16 lines
575 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile kilichotokea nyuma
# tazama
Neno "tazama" hapa uonesha kwamba Musa alishangazwa kwa kile alichokiona
# mmejitengenezea wenyewe ndama
Wanaisraeli wa kizazi cha mwanzo walikuwa wamemuuliza Aaaroni kutengeneza ndama wa chuma ili wamwabudu. Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kuwekwa wazi.
# Umegeuka kwa haraka kando nje ya njia ambayo Yahwe alikuwa amekuamuru.
Musa azungumza kama kutii amri za Mungu kulikuwa kutembea kando ya njia. "Kwa haraka umeshindwa kutii kile Yahwe alichokuwa amekuamuru."