sw_tn/deu/09/07.md

494 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.

Kumbuka na usisahau

Musa arudia amri ile ile vyote kwa chanya na hasi kusisitiza umuhimu wa kukumbuka.

namna mlivyomchochea Yahwe

Hapa "wewe" urejea kwa wanaisraeli ambao wako pamoja na Musa na pia wanaisraeli wa kizazi cha nyuma.

mlikuja eneo hili, mmekuwa waasi...mmechochea...pamoja na wewe kuharibu wewe

Mifano ya "wewe" ni uwingi.

kwenye eneo hili

Hii irejea kwenye mto Yordani wa bondeni.