sw_tn/deu/09/07.md

20 lines
494 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.
# Kumbuka na usisahau
Musa arudia amri ile ile vyote kwa chanya na hasi kusisitiza umuhimu wa kukumbuka.
# namna mlivyomchochea Yahwe
Hapa "wewe" urejea kwa wanaisraeli ambao wako pamoja na Musa na pia wanaisraeli wa kizazi cha nyuma.
# mlikuja eneo hili, mmekuwa waasi...mmechochea...pamoja na wewe kuharibu wewe
Mifano ya "wewe" ni uwingi.
# kwenye eneo hili
Hii irejea kwenye mto Yordani wa bondeni.