sw_tn/deu/09/03.md

16 lines
252 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.
# leo
"sasa"
# kama moto ulao
Yahwe ana nguvu na kuweza kuharibu majeshi ya mataifa mengine.
# kuwaitiisha mbele zenu
"kuwafanya kuwa dhaifu ili muweze kuwatawala"