sw_tn/deu/09/03.md

252 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.

leo

"sasa"

kama moto ulao

Yahwe ana nguvu na kuweza kuharibu majeshi ya mataifa mengine.

kuwaitiisha mbele zenu

"kuwafanya kuwa dhaifu ili muweze kuwatawala"