sw_tn/deu/08/18.md

48 lines
879 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.
# Lakini utafikiri akilini
Hii nahau ni amri. "Lakini kumbuka"
# kwamba aweze
"kwa hiyo anaweza"
# kwamba aweze kuanzisha
Yamkini maana ni 1) "kwa njia hii anaanzisha" au 2) "kwa njia hii ni mwaminifu kuanzisha."
# kuanzisha
"kutimiza" au "kushika"
# kama ilivyo leo
"kama anavyofanya sasa" au "kama anavyoanzisha agano lako sasa"
# tembea baada ya miungu mengine
kutembea ni mfano wa kutii. "tumikia miungu mingine"
# dhidi yako...uta...mbele yako...utaangamia...usinge...Mungu wako
Hii ni mifano ya "wewe" viko kwenye uwingi.
# Nashuhudia dhidi yako
"Ninakuonya" au "Nakwambia mbele ya mashahidi "
# utaangamia hakika
"hakika utakufa"
# mbele yako
"mbele yako wewe"
# hautasikiliza sauti ya Yahwe
Hapa "sauti ya Yahwe" ina maana kwamba Yahwe awambia watu wako kufanya.