sw_tn/deu/08/18.md

879 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.

Lakini utafikiri akilini

Hii nahau ni amri. "Lakini kumbuka"

kwamba aweze

"kwa hiyo anaweza"

kwamba aweze kuanzisha

Yamkini maana ni 1) "kwa njia hii anaanzisha" au 2) "kwa njia hii ni mwaminifu kuanzisha."

kuanzisha

"kutimiza" au "kushika"

kama ilivyo leo

"kama anavyofanya sasa" au "kama anavyoanzisha agano lako sasa"

tembea baada ya miungu mengine

kutembea ni mfano wa kutii. "tumikia miungu mingine"

dhidi yako...uta...mbele yako...utaangamia...usinge...Mungu wako

Hii ni mifano ya "wewe" viko kwenye uwingi.

Nashuhudia dhidi yako

"Ninakuonya" au "Nakwambia mbele ya mashahidi "

utaangamia hakika

"hakika utakufa"

mbele yako

"mbele yako wewe"

hautasikiliza sauti ya Yahwe

Hapa "sauti ya Yahwe" ina maana kwamba Yahwe awambia watu wako kufanya.