sw_tn/deu/08/04.md

429 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.

Mavazi yenu...miaka arobaini

Hiki ni kifungu cha mwisho wanapaswa kukumbuka "tafakari akilini"

miaka arobaini

"miaka 40"

Utafikiri...Utashika... tembea katika njia zake na kumheshimu

Hii yaendeleza orodha ya amri ambazo zimeanza katika 8:1

Utafikiri kuhusu katika moyo wako

Hapa neno "moyo" uwakilisha mawazo na uelewa wa mtu.