sw_tn/deu/08/04.md

20 lines
429 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.
# Mavazi yenu...miaka arobaini
Hiki ni kifungu cha mwisho wanapaswa kukumbuka "tafakari akilini"
# miaka arobaini
"miaka 40"
# Utafikiri...Utashika... tembea katika njia zake na kumheshimu
Hii yaendeleza orodha ya amri ambazo zimeanza katika 8:1
# Utafikiri kuhusu katika moyo wako
Hapa neno "moyo" uwakilisha mawazo na uelewa wa mtu.