sw_tn/deu/07/23.md

588 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

kuwapa ninyi ushindi

"kuwawezesha ninyi kushinda"

ushindi juu yao

Ushindi juu ya majeshi toka mataifa mengine"

atawachanganya kabisa

"atawafanya wao ili wasiweze kufikiri vizuri"

mpaka waangamizwe

Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji.

utafanya jina lao kuangamia toka chini ya mbingu

Wanaisraeli kabisa watawaangamiza watu toka mataifa hayo, na mbeleni hakuna atakayewakumbuka.

kusimama mbele yenu

"kusimama dhidi yako" au "kujitetea wao dhidi yenu"