sw_tn/deu/07/23.md

28 lines
588 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# kuwapa ninyi ushindi
"kuwawezesha ninyi kushinda"
# ushindi juu yao
Ushindi juu ya majeshi toka mataifa mengine"
# atawachanganya kabisa
"atawafanya wao ili wasiweze kufikiri vizuri"
# mpaka waangamizwe
Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji.
# utafanya jina lao kuangamia toka chini ya mbingu
Wanaisraeli kabisa watawaangamiza watu toka mataifa hayo, na mbeleni hakuna atakayewakumbuka.
# kusimama mbele yenu
"kusimama dhidi yako" au "kujitetea wao dhidi yenu"