sw_tn/deu/07/06.md

329 B

Taarifa ya ujumla

Musa awaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

u taifa lililowekwa wakfu

Yahwe kuchagua watu wa Israeli kuwa watu wake katika njia maalumu inazungumzwa kama Yahwe kuwatenga toka mataifa mengine.

ambao wako juu wa uso wa dunia

Hii ni nahau. "ambao uishi juu ya dunia"