sw_tn/deu/07/06.md

12 lines
329 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa awaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# u taifa lililowekwa wakfu
Yahwe kuchagua watu wa Israeli kuwa watu wake katika njia maalumu inazungumzwa kama Yahwe kuwatenga toka mataifa mengine.
# ambao wako juu wa uso wa dunia
Hii ni nahau. "ambao uishi juu ya dunia"