|
# Taarifa ya ujumla
|
|
|
|
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
|
|
|
|
# Utafanya kilicho sawa na kizuri mbele ya Yahwe
|
|
|
|
Hii nahau ni amri na baraka. Kama wanaisraeli wanamtii Yahwe, watapokea baraka kutoka kwa Yahwe.
|